Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema Noti Mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010 ... ambaye hivi sasa ...
Chikwe Ihekweazu kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likibainisha kuwa Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu. Uteuzi huo unafuatia ... Baada ya kifo chake, Rais wa Tanzania, ...
Wabunge wanne wa Tanzania wameliamsha tena bungeni wakitaka Serikali ... Serikali ilivyotangaza matumizi ya kanuni mpya za kikotoo cha mafao ya mkupuo kwa wastaafu kuwa ni asilimia 33 kwa mifuko yote ...
Nchi ya DRC inawakilishwa kwenye kikao hicho na Waziri wake Mkuu Judith Suminwa. Katika mkutano huo, Rais wa Tanzania amewataka wenzake wa nchi za SADC na EAC kutafuta suluhu la utovu wa usalama ...
Viongozi hao wakikanda wanakutana kujadili mpango wa usitishwaji mara wa mapigano mashariki ya DRC. Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na nchi ya Rwanda, wamekuwa wakiripotiwa kuchukua udhibiti ...
Afisa wa ngazi ya juu katika kiwanda cha Taiwan cha Hon Hai Precision Industry aliripotiwa kusafiri hadi Japani mwezi uliopita na kukutana na wakurugenzi wa kampuni ya Nissan Motor kuhusu ...
natumai kufanya kazi na Rais Trump kujenga enzi mpya ya dhahabu katika uhusiano wa Japani na Marekani." Viongozi hao wawili walisisitiza dhamira yao ya kushirikiana katika uendelezaji wa miradi ya ...
Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika mji mkuu wa Windhoek, kiongozi wa sasa wa nchi hiyo ametangaza. Abdalla Seif Dzungu na Rashid Abdalla ...
Wamarekani Waarabu na Waislamu walishiriki katika kumrejesha Donald Trump Ikulu ya White House. Ingawa asilimia yao nchini Marekani si kubwa, ushawishi wao ulikuwa mkubwa kwa sababu kuu mbili: ya ...
George Simbachawene aliyemwakilisha Rais Samia, wakati wa ibada ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa. Ibada hiyo ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results