MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne Zanzibar yanaashiria changamoto kubwa na ya dharura katika mfumo wa elimu, ambayo ...
KWA miaka ya nyuma ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye angeweza kutegemea kuona kikitokea kwa mchezaji kutoka klabu ya kawaida tu, isiyo na jina kubwa kama Fountain Gate kusajiliwa na klabu kubwa Afrika ...
Uamuzi wa Wakili ulitangazwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Mwalimu Nyerere wakati akitoa taarifa kwenye Mkutano Mkuu wa CCM ...
Kutoka Februari 5, 1977, CCM ilipozaliwa baada ya kuunganisha vyama vya Tanu na ASP hadi Februari 5, 2025, ni miaka 48 iliyotimia. Ni siku 17,532 zenye matukio makubwa ya kisiasa.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema Soko la kisasa la Chuwini litaleta Mapinduzi ...
ZANZIBAR: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, CPA Amos Makalla amesema soko la kisasa la Chuwini litaleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa ...
BAADA ya kusaini mkataba wa miezi sita wenye kipengele cha kuongeza, mshambuliaji wa Kitanzania, Oscar Evalisto amesema ...
Rais wa Marekani amesema anataka nchi yake ichukue" umiliki wa muda mrefu "wa Gaza, na kuibadilisha kuwa" eneo la kitalii la ...
Kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar kufikisha miaka 61, Makalla alisema Zanzibar imeandika historia yake yenyewe na ni kitendo cha kizalendo na cha kujivunia. Alifafanua Mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa lazima ...
Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar na Chama cha waongoza watalii Zanzibar (ZATO) Februari 6, 2025 walifanya ziara maalumu (Fam – Trip) katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale Kilwa ...
Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama na kuangazia kwa namna gani wakazi wanaozunguka migodi ya madini kupitia uwajibikaji kwa jamii. Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa umekua ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results