Ubovu wa barabara inayoelekea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga umekuwa kero kwa watumiaji wake, hususan madereva wa magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) na pikipiki za magurudumu matatu ...
Siku tatu baada ya kuteuliwa na Mkuu wa Nchi, Félix Tshisekedi, Meja Jenerali Evariste Kakule Somo amehamia Beni, kaskazini mwa mkoa wa Kivu Kaskazini, Ijumaa hii, Januari 31. Kutokana na kuwepo ...
mwajiriwa wa hospitali ya rufaa ya Mugalo, aliyeanza kupata dalili zinazofanana na za homa. Soma pia: Sierra Leone kuzindua kampeni ya chanjo dhidi ya Ebola Taarifa hiyo iliyotolewa kupitia jukwaa ...
Alifariki dunia Januari 25, 2025, Saa 4 usiku wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Rufaa ya Bugando, jijini Mwanza. Waombolezaji hao wameongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, Mkuu wa ...
Dar es Salam. Baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuwasilisha nia ya kukata rufaa Mahakama ya Rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama kuhusu dhamana ya Dk Wilbrod Slaa, Mahakama ya Hakimu ...
njia ya kawaida ya rufaa kwenda Ukingo wa Magharibi na Mashariki mwa Yerusalem. Hospitali za Mashariki mwa Yerusalem na Ukingo wa Magharibi ziko tayari kupokea wagonjwa mahututi wa Kipalestina kutoka ...
31.01.2025 31 Januari 2025 Wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki hufurahia kitinda mlo hiki hasa majira ya jioni, kinaandaliwa kwa namna tofauti lakini walaji wanasema wanavutiwa zaidi na ile ...
aliachiliwa kwa amri ya Mahakama ya Rufaa ya Roma wiki moja iliyopita kutokana na ukiukwaji wa taratibu, na akafukuzwa Tripoli kwa ndege iliyokodishwa na serikali yaa Italia. Giorgia Meloni ...
Tatizo hilo liligundulika mchana wa jana Jumatatu Januari 27, 2024 baada ya kufanyiwa kipimo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke hali iliyolazimu kuandikiwa rufaa ya kupelekwa Muhimbili. Januari ...
Musa Ngasa aliyechomwa na mshale katika Kijiji Cha Nhobola kilichopo kata ya Talaga Wilaya ya Kishapu akiwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga. Picha na Hellen Mdinda Shinyanga. Jeshi la ...
Rais mteule Donald Trump atarejea tena katika Ikulu ya White House leo Jumatatu Januari 20, 2025, punde tu atakapo apishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa Marekani. Siku ya kuapishwa itajumuisha sherehe ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results