Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia na kulivunja rasmi Bunge la 12 Juni 27, 2025. Akitoa taarifa ya Spika bungeni ...
Makamu huyo wa zamani wa rais ... ujao," rais Smia Suluhu Hassan alisema. "Ninaomba kila mtu kudumisha umoja wetu tunapokaribia uchaguzi," aliongeza katika hotuba yake ya kufunga kikao cha ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na kuk ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae ...
Tuzo ya Gates Goalkeeper imeasisiwa na Taasisi ya Bill and Mellinda Gate mwaka 2017 ikilenga kuchochea na kuonyesha juhudi za ...
Jaji mkuu katika hotuba yake, amemweleza Rais kuwa iwapo suala la ardhi litawekwa vizuri, litasaidia kutatua matatizo mengi ...
CHAMWINO, Dodoma – Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepiga hatua kubwa ya kubadili hali ya Chamwino kwa kutatua changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi wa eneo hilo, wakiwa mashahidi wa ...
Akizungumza katika mkutano na katibu mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus, Rais Samia Suluhu Hassan amesema ... amesema kuwa hii ni mara ya pili kwa virusi vya maradhi ...
Hatua hii pia inakuja baada ya Jumapili ya wiki iliopita, Chama tawala cha CCM kwa kauli moja kumteua rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake wa Urais. Samia aliingia madarakani mwaka wa 2021 ...
KWA muda mrefu Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akitamani nchi za Afrika ziungane kufanya jambo la pamoja, katika kuwapunguazia wananchi gharama za maisha na kuwapa maendeleo yanayoendana na kasi ya ...
Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio makubwa ya sekta ya utalii, ikiwemo ...
Rais Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Februari 4, 2025. Tuzo hiyo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results