“Saini ya aliyekuwa Waziri wa Fedha ambaye hivi sasa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango imebadilishwa na kuwekwa Saini yako Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck ...
Makala ya yaliyojiri wiki hii kwa sehemu kubwa imejikita katika kudadavua hali yausalama wa mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ... Uganda, Tanzania na maeneo mengine duniani Inatokea sasa ...
Wanajeshi kadhaa kutoka Afrika Kusini, Malawi na Tanzania ... haina nia ya mabadiliko ya serikali. Tarehe 4 , mwezi Januari 2025, Muungano wa makundi ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema wataendelea kuongeza ubunifu katika mabonanza yanayokusanyisha wabunge na wananchi ili kuvutia watu wengi zaidi kushiriki ...
TSA / S08S 31.01.2025 31 Januari 2025 Kundi la wapiganaji wa M23 limeapa kuendelea na mapigano yao nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo+++Serikali za Tanzania na Burundi zimesaini makubaliano ya ...
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Corneille Nangaa, amesema kamwe hawatauachilia mji wa Goma. https://p.dw ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.
Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipoingia madarakani. “Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais wetu mpendwa Dkt. Samia ...
Japani imeipelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, dozi 50,000 za chanjo dhidi ya ugonjwa wa mpox, uliokuwa unajulikana hapo awali kama monkeypox. Serikali ya Japani ilisema jana Jumatatu ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye mwenyeji wa mkutano akihutubia mkutano huo amesisitiza umuhimu ake akisema. "Mkutano huu unazungumzia zaidi ya nishati, ni ...
Uteuzi wa Lissu unakuja wakati huu ambapo tofauti zikionekana kuibuka ndani ya chama hicho cha upizani, changamoto ambayo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema huenda ikikadhoofisha chama ...
Yalishatajwa majina mengi. Waziri Mkuu wa Tisa, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda, alitajwa zaidi. Veterani wa siasa Tanzania, Stephen Wasira, aligeuka mada ya asubuhi ndani ya ukumbi.