Amesema hayo, leo Februari 10, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo alieyetaka kujua ni lini ...
HALI ya kutisha imeukumba mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya maiti za watu kutapakaa katika ...
MAJINA ya wafanyabiashara 1,520 watakaorejea katika Soko Kuu la Kariakoo, jijini Dar es Salaam yametajwa na kutakiwa kwenda ...
Siku tatu baada ya kuteuliwa na Mkuu wa Nchi, Félix Tshisekedi, Meja Jenerali Evariste Kakule Somo amehamia Beni, kaskazini mwa mkoa wa Kivu Kaskazini, Ijumaa hii, Januari 31. Kutokana na kuwepo ...
"Mkutano huu usio wa kawaida" unalenga "kujadili masuala yanayohusiana na Mashariki mwa DRC", hali ambayo "inatia wasiwasi" kufuatia kutekwa kwa siku za hivi karibuni kwa Goma, jiji kuu la mkoa wa ...
Akitoa taarifa za mradi meneja Tanroads mkoa Dodoma, Zuhura Amani amesema mpaka sasa utekelezaji wa mradi unaendelea vizuri ambapo ujenzi wa uwanja umefikia asilimia 84. Aliongeza kuwa ujenzi wa ...
Aidha ameeleza kuwa kupitia mradi wa DMDP, wamejipanga kujenga soko lingine zuri kama lilivyo la Kariakoo katika eneo la Jangwani, jijini Dar es Salaam, hivyo baadhi ya wafanya biashara watahamishwa ...
Arusha. Kampuni ya Utalii ya Leopard Tours imetoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama na kukuza sekta ya utalii mkoani Arusha. Pikipiki hizo zimekabidhiwa leo Ijumaa Januari 24, ...
Roaring flames, wind-whipped embers and the smoking remains of homes have filled newscasts, websites and social media over the last two weeks. The fires that have destroyed 12,000 structures and ...
Leo ni siku ya tatu tangu kutolewa tangazo la muafaka wa usitishaji uhasama Ukanda wa Gaza baina ya Israel na kundi la Palestina la Hama utakaoanza kutekelezwa mwishoni mwa wiki. Raia wa Gaza ...
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa niaba ya Kamishna Jenerali imeteketeza dawa za kulevya kilogramu 185.35 katika Dampo la Maji ya Chai lililopo ...
Wakati taarifa za kuhimiza amani, utulivu na upendo zikisikika Zanzibar katika nyumba za ibada na kwingineko matukio ya vifo, baadhi vya watu waliokuwa mikononi mwa vyombo vya dola zimeshitua watu na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results