Miss Tanzania mwaka 2018, Queen Elizabeth Makune amesema hana mpango wa kuingia katika muziki, filamu au mitindo kama walivyofanya baadhi ya warembo waliowahi kutwaa taji hilo miaka ya nyuma.
Banduka ambaye ni mzaliwa wa Kijiji cha Mruma, Tarafa ya Ugweno, Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, amezikwa leo Jumatano ...