Wanajeshi wawili wa Tanzania wameuawa katika mapigano katika siku 10 zilizopita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata mtu mmoja anayejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akiwa na ...
Jeshi la Tanzania limekana madai kwamba limekuwa likihusika katika mzozo wa kivita unaoendelea nchini Msumbiji. Akizungumza na BBC kwa njia ya simu msemaji wa jeshi hilo Kanali Juma Sipe amesema ...
Miss Tanzania mwaka 2018, Queen Elizabeth Makune amesema hana mpango wa kuingia katika muziki, filamu au mitindo kama walivyofanya baadhi ya warembo waliowahi kutwaa taji hilo miaka ya nyuma.
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema limewapoteza askari wake wawili na wengine wanne kujeruhiwa, kufuatia mashambulizi ya mfululizo katika maeneo ya Sake na Goma, yaliyofanywa na ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limethibitisha kuuawa kwa wanajeshi wake wawili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ...
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amekabidhi mguu bandia uliogharimu Sh. milioni 2.5 kwa Jackson Mwakalinga (75), mkazi ...
Tanzania imesema askari wake wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) wameuawa katika shambulio la Waasi wa M23 huko Goma ...
HALI ya usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) bado iko kutokana na matukio ya ukosefu wa usalama, mapigano ya ...
Miili ya wanajeshi kumi na wanne wa Afrika Kusini waliouawa katika kipindi cha wiki mbili zilizopita wakati wa kutekwa kwa ...