Mbunge wa Viti Maalum mkoani Shinyanga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba, amempongeza Rais ...
MKURUGENZI wa Rasilimali watu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Brigedia Jenerali Simon Pigapiga amewataka wahitimu ...
Marekani inaishawishi Urusi ikubali kumaliza mzozo na Ukraine. Rais Putin wa Urusi amesema mzozo huo utakoma kwa masharti, ...
Msemaji wa kijeshi wa kundi la Wahouthi, Ameen Hayyan, amesema kuwa kombora hilo lilielekezwa katika Uwanja wa Ndege wa ...
Putin alikuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya mgeni wake kiongozi wa Belarus, Alexander Lukashenko, ...
Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekutana Harare, Zimbabwe pamoja na mambo mengine wamejadili suala la amani Mashariki mwa Jamhuri ya ...
ABC haitanii na imetoa fursa kwa vijana kujiunga na timu hiyo ikiwamo kupata nafasi ya kwenda mafunzo ya jeshi.
Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Joseph Kaheza, amepewa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita siku ya jana baada ya kushikiliwa kwa saa kadhaa na jeshi hilo. Kwa mujibu ...
Wakati jeshi la Israeli halikutoa maelezo yoyote kuhusu mashambulizi hayo ya anga, ofisi ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu imesema kuwa imewaamuru wanajeshi wa Israeli kuchukua "hatua ...
Jeshi la Sudani Kusini lilitekeleza mashambulizi ya anga usiku wa Jumapili, Machi 16, kwenye mji wa Nasir, huko Upper Nile (kaskazini mashariki mwa nchi). Mashambulizi haya yalisababisha vifo vya ...