NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi, kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki hilo, ...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amemteua Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Stephano Musomba, kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo jipya la Bagamoyo. Uteuzi huu umeanza rasmi ...
TIMU ya Junguni United imeilaza Chipukizi United ya Mjini Chake Chake kwa kichapo cha mabao 3-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliopigwa kwenye Uwanja wa FFU. WENYEJI wa michuano ya Kombe la ...
Simba imefika uwanjani hapo kwa lengo la kufanya mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo huo, lakini dakika chache kabla ya saa 1:00, walitimuliwa na makomandoo hao. Kwa mujibu wa kanuni ya 45 ya uendeshaji ...
Siku ya kimataifa ya matumaini Siku ya kimataifa ya kuishi pamoja kwa amani Siku ya kimataifa ya ustawi wa mahakama Jumanne ya Machi 4, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha maazimio ya kuanzisha ...
Mkoa wa Kaskazini Unguja, uongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar umetaja ugonjwa uliokuwa ukimsumbua. Padri Mwang'amba alifariki dunia asubuhi ya Februari 27, 2025 akiwa kanisani hapo akitoa ...
Unguja, Zanzibar ... madhubuti wa Tehama wa ZICTIA, Zanzibar itanufaika na mfumo wa kisasa wa mawasiliano wa kasi ya juu. Bodi ya Ligi Kuu Bara imesema kama Yanga kweli imeenda Cas kudai pointi tatu ...
hali yake ikiripotiwa kuendelea kudorora na kuzua hali ya wasiwasi kwa waumini wa kanisa Katoliki. Licha ya tangazo la Vatican kwamba Papa amekuwa na usiku mtulivu, imeelezwa kwamba kiongozi huyo ...
Siku ya Jumatatu, Waziri Mkuu wa DRC Judith Suminwa akizungumza katika mkutano wa baraza kuu la haki za binadamu mjini Geneva alisema watu Elfu saba wameuawa tangu mwanzoni mwa mwezi Januari ...
Na bila shaka, wakati umefika wa amani Ukraine. Amani iwe ya haki, endelevu na ya kina, kwa mujibu wa Katiba ya Umoja wa Mataifa, sheria ya kimataifa, maazimio ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ...