Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeridhishwa na ujenzi wa vihenge vya kuhifadhia mazao na maghala ...
Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge na Uratibu, wamehimizwa kuhakikisha wanaratibu kwa umakini taarifa za ...
WADAU wa siasa wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuimarisha ...
Vyama mbalimbali vya siasa vimesema vinatumia kila mbinu inayowezekana kuhamasisha wanachama wao wajiandikishe katika daftari ...
Viongozi mbalimbali wa Serikali, siasa, na kiroho wamezungumzia maisha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, hayati John Joseph Magufuli, akiwemo Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la ...
DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbalimbali za umma kutokana na baadhi ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi, amewataka watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu ...
Viongozi mbalimbali wa upinzani wakiwemo marais wawili kutoka mataifa ya Afrika na wengine kutoka kwingineko duniani, siku ya Alhamisi walizuiwa kuingia nchini Angola kuhudhuria mkutano ...
Rais wa Taiwan Lai Ching-te anasema utawala wake utafanya kazi kurejesha mfumo wa mahakama ya kijeshi. Amesema hiyo ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na vitisho vya China vinavyotokana na ...
Rais Tshisekedi, katika kipindi cha nyuma, amekuwa akigoma kuzungumza na waasi hao, akiwaita magaidi. Msemaji wa rais Tshisekedi Tina Salama, kupitia ukurasa wake wa X, amesema, serikali ya ...
rais wa Ukraine anaikosoa Urusi kwa "kuweka kwa makusudi masharti ambayo yanatatiza na kuondoa mchakato". Maoni yake yalifuatia mkutano wake na Kardinali Pietro Parolin, katibu wa Jimbo la Holy See.
Aidha, kikao hicho cha SADC kilitambua uongozi bora wa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe, ambao walionekana kuwa na mchango mkubwa katika kuratibu ajenda ...