Dar es Salaam. Kizazi cha viongozi wapigania uhuru wa Afrika kimefungwa rasmi kufuatia kifo mwasisi wa Namibia huru, Sam Nujoma. Nujoma, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Namibia, amefariki dunia leo ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Rais Muasisi wa Taifa la Namibia, Dk Sam Nujoma kilichotokea jana usiku akiwa amelazwa hospitalini. Kupitia kurasa zake za mitandao ya ...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Rais wa Namibia na wananchi wote kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa nchi hiyo, Sam Nujoma. Kupitia taarifa yake katika ...