Waziri Mkuu wa Mauritius, Navin Ramgoolam amesema siku ya Jumanne kwamba amefikia makubaliano mapya "tayari kutiwa saini" na Uingereza juu ya udhibiti wa Visiwa vya Chagos, visiwa vya kimkakati ...
Inasema visiwa hivyo vilitwaliwa kinyume cha sheria baada ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Katika tukio hilo la jana Ijumaa, Kudo Shigeshi mwenye umri wa miaka 85, ambaye alikuwa mkazi wa Visiwa ...
Hii ni sehemu ya jitihada zinazofanywa na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii na TAWA kuunganisha Zanzibar na vivutio vya utalii vilivyopo mikoa ya Tanzania Bara ikiwa ni hatua muhimu ...
Unguja. Jaji Mkuu wa Zanzibar, Khamis Ramadhan Abdalla amewataka mawakili wapya waliopatiwa vyeti vya uwakili kuzingatia uadilifu na weledi kama inavyotaka sheria namba moja ya mwaka 2020 ili ...
Wasafirishaji hao wametoa changamoto hizo leo Februari 7, 2025 katika ziara iliyofanywa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kaskazini Unguja ya kukagua utaratibu wa uingizwaji wa mifugo wamesema kuwa hawana ...
Kuhusiana na hatua za China, Ishiba alisema viongozi hao walithibitisha kuwa Kipengele Namba Tano cha Mkataba wa Usalama wa Japani na Marekani kitatumika katika Visiwa vya Senkaku mkoani Okinawa.
Wiki moja baada ya kuanza kwa mashambulizi ya M23, yakiungwa mkono na wanajeshi wa Rwanda, dhidi ya mji wa Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini mashariki mwa DRC, vilabu vitatu vikubwa vya ...
na kuhakikisha skuli zina vifaa vya kisasa vya kufundishia na kujifunzia. Kutumia teknolojia ni jambo muhimu kwa Zanzibar ambayo inapaswa kuanzisha programu za elimu za kidijitali, ikiwemo mafunzo ya ...
SERIKALI ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, imewataka Wananchi na Vikundi vya Kijamii na Ushirika Wilaya ya Wete, kuitumia vema Elimu ya Fedha na Huduma Jumuishi za Kibenki zikiwemo za bima na mikopo nafuu ...
Chama hicho pia kimempitisha Dkt. Hussein Mwinyi kugombea Urais kwa upande wa Zanzibar. Uamuzi huo umefanyika mapema kuliko kawaida, na katika mkutano ambao awali haukupangwa kufanya maamuzi hayo ...
safari pekee zilizofanyika ni kati ya Bukavu na kisiwa cha Idjwi napia kati ya Idjwi na visiwa vingine vya ziwa Kivu ambamo wakazi wanatumia mitumbwi katika mahusiano yao. Hatuwa hii ya gavana ...
Mgogoro wa Sudan unatajwa kama "mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu kuwahi kurekodiwa" na sasa vita vinavyoendelea kati ya vikosi vya serikali na waasi wenye silaha nchini Sudan vimehamia kwenye ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results