Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa amri kuzuia kutajwa majina ya mashahidi katika kesi ya mauaji ya askari wanne na raia watatu, tukio lililohusisha kundi la ...