Kaimu Waziri wa Afya James Hoth Mai amesema mgonjwa huyo alikuwa na dalili za homa, upele na mwili kuwasha mnamo Januari 22. "Wizara ya Afya inapenda kujulisha umma kwa ujumla kwamba mlipuko wa ...
Afya Trading Down 0.6 % AFYA stock opened at $16.58 on Monday. Afya Limited has a one year low of $14.52 and a one year high of $22.24. The stock has a market cap of $1.55 billion, a price-to ...
Zaidi ya watu 47,540 wameuawa, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, kulingana na wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas. Januari 2025, Israel na Hamas walifikia makubaliano ya kusitisha mapigano ...
Ikiwa na harufu nzuri, bia baridi ni kinywaji kinachogusa hisia zetu zote. Lakini jinsi hali ya hewa inavyobadilika, ndivyo pia ladha ya mojawapo ya vinywaji maarufu zaidi duniani inavyopungua.
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya, huku katika sura ya pili taifa rafiki la China, likiendeleza uwekezaji kitaaluma na vifaa. Lengo ni kufanyika ...
Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 521 katika kipindi cha Julai 1, 2024, hadi Desemba 31, 2024. Hii ni sawa na asilimia 52.2 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 1 kwa mwaka wa ...
Amesema Sawadogo. Mratibu wa Utalii wa Matibabu wa Wizara ya Afya, Asha Mahita, Tanzania imekuwa ikifanya vizuri kwenye masuala ya Afya, hivyo kutokana na changamoto walizonazo nchini kwao wamekuja ...
Hata hivyo, utafiti wa Wizara ya Afya, unaonesha takribani watu milioni moja wanaishi na kifafa nchini. Usiyoyajua kuhusu kifafa Kifafa ni ugonjwa sugu usioambukiza wa ubongo, unaoathiri takriban watu ...
Miaka kumi iliyopita, maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi yalitambua ukweli wa kimsingi; ushiriki wa wanawake ni muhimu kwa ajili ya kujenga ulimwengu ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...