Takriban watu saba wamekamatwa mjini Arusha nchini Tanzania wakihojiwa kuhusiana na majukumu yao katika maandamano ya kisiasa dhidi ya serikali mnamo tarehe 26 Aprili ambayo ni siku ya muungano.
Chanzo cha picha, KAMPALA UNIVERSITY Unaweza kujiuliza maandamano yafanyike Kibera au Mathare huko Nairobi lakini Dar es Salaam, Arusha, Tanga na miji mengine ya Tanzania ipatwe na msiba?
Wakati hali ya utulivu ikidaiwa kuonekana Jumapili ya wiki iliopita huko Kivu Kusini kufiuatia wito uliotolewa na viongozi wa ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Songea Mjini na Vijijini mkoani Ruvuma, kinatarajia kufanya maandamano yakifuatiwa na ...