Picha ya madaktari wawili wakikorofishana wakati walipokuwa wakimfanyia mgonjwa upasuaji, imesambaa katika mitandao ya kijamii Madaktari hao wawili wamesimamishwa kazi kwa muda nchini India ...
Madaktari nchini Kenya wamekataa nyongeza ya karibuni zaidi iliyopendekezwa na serikali katika juhudi za kujaribu kumaliza mgomo wa madaktari na wahudumu wa afya ambao umedumu kwa mwezi mmoja sasa ...