SERIKALI imepokea mapendekezo yaliyotolewa na madaktari bingwa wa selimundu kukabili ugonjwa huo nchini, ikieleza kuwa baadhi hayatekelezeki kibajeti, pia katika uhusiano kijamii na utawala bora.
Likizo ya uzazi huanza tu baada ya mtoto kumaliza kipindi cha uangalizi maalum, kulingana na tathmini ya madaktari. Aidha, anasema mfanyakazi ataruhusiwa kutoka kazini kwa muda wa miezi sita baada ya ...