Demba Camara alinaswa chini ya mlango wa gari na akapelekwa hospitalini ya Dentec nchini humo pamoja na wenzake. Madaktari waligundua kuwa alikuwa na ufa kwenye fuvu la kichwa, kifua, na majeraha ...
SERIKALI imesema itaanza kuchukua hatua kali kwa madaktari wanaozuia mwili kuchukuliwa na ndugu zao baada ya kushindwa kulipa gharama za matibabu, kinyume na maelekezo ya serikali. Kadhalika, imetoa ...
“Maiti huwa zinazuiliwa na uongozi wa hospitali zetu na wala si suala la madaktari na katika maeneo ambayo tumefanya ... kwenye Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kuachia ngazi ya urais Zanzibar.
Jasmin amesema tatizo kubwa ni wanawake wengi kutokuwa na utamaduni wa kufuata ushauri wa madaktari kuhusu afya zao za uzazi. Amesema kuwa wengi wao wamekuwa wakiamini zaidi katika tiba za kienyeji na ...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Human Right Watch limechapisha taarifa lituhumu serikali za Africa namna gani zimeshindwa kulinda haki za raia wake.
Picha na Salim Hamad Pemba. Wizara ya Afya Zanzibar, imewasimamisha kazi kwa muda wa mwezi mmoja madaktari wawili katika Hospitali ya Abdalla Mzee Kisiwani Pemba kwa tuhuma za kutoa lugha isiyofaa kwa ...
Unguja. The political landscape in Zanzibar is shaping into one of anticipation as the island nation gears up for the October 2025 General Election. The Opposition ACT-Wazalendo national Chairman and ...
Dk Mfuko alisema Profesa Hua atakuja maalumu kwa ajili ya kuwa jengea uwezo madaktari wa Tanzania ili wakati mwingine changamoto hizo zisiwe sababu ya wagonjwa kupewa rufaa kwenda kutibiwa nje ya nchi ...
Ni rahisi kwa wachezaji wao kujiangusha hata wawili kwa wakati mmoja na madaktari wao huchelewa kuingia uwanjani makusudi na hata wakiingia wanakuwa wachache ambao huenda kwa mchezaji mmoja na baada ...
WHO ni shirika makhsusi la Umoja wa Mataifa linalohusika na afya ya umma wa kimataifa. Lilianzishwa Aprili 7, 1948 na lina makao yake makuu mjini geneva, Uswisi.
Akiwa amekaa katika chumba cha ushauri cha hospitali ya Royal Free, jijini London akizungumza na madaktari kwa kiengereza chake kidogo, Daniel alikuwa na hofu kubwa. Na mtafsiri aliyelipwa alikuwa ...
Watu sita ikiwemo madaktari kadhaa wamefungwa gerezani nchini China kwa kutoa viungo vya mwili kinyume cha sheria kwa watu waliokufa kutokana na ajali, vyombo vya habari vya eneo vimesema.