Makamu wa Rais,Dk Philip Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika Bara la Afrika hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara bado ni madogo ikilinganishwa na maeneo mengine kama Bara la Amerika, Asia na Ul ...
Basi hilo lilipinduka karibu na Santo Domingo Narro, kusini-kati mwa jimbo la Oaxaca, ambalo mji mkuu wake wa jina moja na pwani ya Pasifiki ni maarufu kwa watalii. Siku hiyo, takriban watu 14 ...
FILE - South African soldiers, part of the Southern African Development Community's mission to fight against armed rebel groups in the east of the Democratic Republic of Congo, stand in Goma as ...
Safari za ndege za wahamiaji wa Venezuela kutoka Marekani zitaanza tena Jumamosi, Machi 15, baada ya kusimamishwa na serikali ya Venezuela. Baada ya uamuzi wa Washington wa kusitisha leseni ya ...
Nchi zao hukabiliwa na majanga ya vimbunga, mioto ya mwituni, mafuriko au matetemeko ya ardhi mara kwa mara. Sujit Mohanty wa Ofisi ya UN ya Kupunguza Hatari za Majanga alisema kongamano hilo ni ...
Kampeni hiyo iitwayo ‘Kilindini’, inalenga kukuza usimamizi endelevu wa rasilimali za baharini, kusaidia jamii za pwani, na kupambana na shughuli haramu zinazotishia Bahari ya Hindi Kusini Magharibi.
MKUU wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Hassan Bomboko, amekutana kwa zaidi ya saa tano na wakazi wa Kijiji cha Mtakuja kilichopo Kata ya KIA, kujadili na kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la ...
MKUU wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amezindua na kukabidhi rasmi zoezi la ugawaji wa msaada mbalimbali kwa waathirika wa mafuriko katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara kufuatia ...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),limetoa taarifa ya uwepo wa maboresho ... hivyo baadhi ya maeneo ya Zanzibar na mikoa ya Dar es Salaam na Pwani yataathirika kwa kukosa umeme kwa nyakati tofauti.
Matokeo ya ripoti hiyo yanaonyesha tofauti kubwa ya kiuchumi kati ya mikoa ya Tanzania, hali inayoibua haja ya sera maalumu za kiuchumi ili kuinua mikoa kama Dodoma na Pwani, licha ya umuhimu wao kwa ...