Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema mpango wa kukagua magari kwa macho sasa basi, badala yake magari yote ...
MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne Zanzibar yanaashiria changamoto kubwa na ya dharura katika mfumo wa elimu, ambayo ...
Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) lipo kwenye hatua za manunuzi za mradi wa kuagiza na kusimika vituo vya Gesi Asilia (CNG) vinavyohamishika katika barabara ya Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Unguja. The political landscape in Zanzibar is shaping into one of anticipation as the island nation gears up for the October 2025 General Election. The Opposition ACT-Wazalendo national Chairman and ...
Juhudi za kushinikiza mhamo kutoka matumizi ya nishati chafuzi ya magari na kuhamia kwenye matumizi ya magari ya umeme ya nishati safi zimeanza kuonekana. Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
*Ni katika urejeshaji wa mikopo Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni ...