MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeagiza kuwa Februari 19 mwaka huu, Dk. Wilbroad Slaa apelekwe mahakamani ili afuatilie kesi yake ya tuhuma kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao ...