JESHI la Magereza limeingia makubaliano ya kutumia mbolea zinazozalishwa na kiwanda cha Itracom Fertilizer LTD kilichoko jijini hapa, ili kuboresha shughuli za kilimo ikiwamo kuongeza uzalishaji wa ...
Kelele hizo ziliendelea huku wakidai kwamba hawaondoki mahakamani hapo bila Dk. Slaa. Hata hivyo, askari Magereza waliokuwa ndani ya chumba hicho, takribani sita, walimwondoa Dk. Slaa haraka na ...
Sasa ni rasmi. Tawi la kijeshi la kundi la wanamgambo wa Kiislamu la Palestina, Hamas, limethibitisha siku ya Alhamisi, Januari 30, kifo cha kiongozi wake, Mohammed Deif, ambaye Israel inadai ...
Gaza. Wafungwa 90 raia wa Palestina wameachiwa kutoka katika magereza ya Israel. Wafungwa hao ni wanawake na watoto waliokamatwa na Jeshi la Israel (IDF) na kufungwa katika magereza nchini humo.
Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Ester Mahawe ukiwa tiyari kwenye eneo la makaburi kwa ajili ya maziko nyumbani kwake eneo la ngaramtoni ya chini jijini Arusha, picha na Bertha ...