Kisiasa na kikatiba mchakato wa kumpata Makamu wa Rais unazihusisha taasisi mbili, chama tawala CCM na Bunge la Tanzania. Rais Samia na chama chake cha CCM wana kibarua cha kuteua jina la ...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amewasili nchini Tanzania, tayari kwa kuanza ziara yake ya siku tatu nchini humo. Ziara hii ya kiserikali inatokana na mwaliko wa Rais wa Tanzania Samia ...
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka serikali kuwachukulia hatua ikiwezekana kuwaondoka katika nafasi zao watumishi ...
Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Masauni ametaja changamoto nne mtambuka ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli, aliyefariki dunia ghafla mweziMachi 2021, alionyesha dalili za uwazi alipoingia madarakani, hasa akiidhinisha vyombo vya ...
Edward Ngoyai Lowassa, tayari ameshatimiza mwaka mmoja tangu alipovuta pumzi ya mwisho, Februari 10, 2024 akiwa Taasisi ya ...
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango ametoa rai kwa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kukamilisha mchakato wa kusanifu na kujenga ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Kamishna Mkuu Mpya wa Mamlaka ya ...
Rais Dk Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia leo hado Februari 16, ...
Katika mkutano huo, Rais wa Tanzania amewataka wenzake wa nchi za SADC na EAC kutafuta suluhu la utovu wa usalama mashariki ya DRC na kwamba historia itawahukumu vikali iwapo hawatafanya chochote ...