Zaidi ya wafungwa 1,300 wametoroka gerezani Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo mjini Beni baada ya watu wanaoshukiwa kuwa waasi wa kiislamu kushambulia eneo hilo, maafisa wameeleza.
lakini mpaka sasa hali ya wasiwasi inaendelea kuwakumba wakazi wa mjini Goma, kufuatia njaa na umasikini unaosababishwa na vita hivyo. Inatokea sasa hivi ...