Shirika lisilo la kujipatia faida linalosaidia familia katika malezi ya watoto linaendesha tovuti inayotoa taarifa mbalimbali zinazohusiana na shule, ikiwa ni pamoja na mfumo wa elimu wa Japani na ...
Shirika lisilo la kujipatia faida linalosaidia familia katika malezi ya watoto linaendesha tovuti inayotoa taarifa mbalimbali zinazohusiana na shule, ikiwa ni pamoja na mfumo wa elimu wa Japani na ...
Katika mwaka uliopita huko Gaza, "zaidi ya watoto 600,000 – ambao wana umri wa kwenda shule - hawakupata elimu," anasema msemaji wa Unicef, Saleem Oweis. "Tunaona jinsi migogoro na ukosefu wa ...
Takriban watu kumi wameuawa kwa kupigwa risasi katika kituo cha elimu ya watu wazima nchini Sweden, katika mji wa Örebro ... na magari ya dharura nje ya shule. Kulingana na vyombo vya habari ...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Sh millioni 25.9 Kwa shule za sekondari na msingi mkoani Simiyu hatua inayolenga kuboresha ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Picha na Damian Masyenene Mwanza. Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Modern iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela jijini Mwanza wametekwa na kupelekwa kusikojulikana na mtu ambaye hajafahamika mara moja ...
SIKU chache baada ya Nipashe kuchapisha ripoti kuhusu madhila yanayowakumba wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Lipumba kutokana na kujengwa jirani na makaburi, uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya ...
WANAFUNZI wa shule ya Sekondari Mkabuye iliyopo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wametoa shukrani zao kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia ujenzi wa shule ya sekondari katika kata hiyo hali ...
MKUU wa Shule ya Sekondari Chambo iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi ,44, amekufa baada ya kunywa kitu kinachodhaniwa kuwa ni sumu. Kamanda wa ...
SHULE ya Sekondari ya Academic International imetoa msaada wa Sh. milioni 14 kwa ajili ya kusaidia matibabu ya watoto wanaougua saratani nchini. Mkuu wa Shule hiyo, Shyama Santhosh, aliyasema hayo ...
Vilevile kwa Shule ya Sekondari Ndalala matokeo yanaonyesha kati ya mwaka 2022 hadi 2024 wanafunzi 564 walipata daraja la nne na 322 walipata sifuri. Akizungumza leo Februari 10,2025 wakati wa mkutano ...