Theluji inaanguka hata katika maeneo tambarare kuzunguka maeneo ya katikati hadi magharibi mwa Japani, ambayo kimsingi theluji huwa ni nadra. Mamlaka ya ... 19 katika mji wa Shobara mkoani ...
"Mustakabali wa Gaza haupaswi kuonekana katika mtazamo wa udhibiti wa taifa la tatu, lakini katika mfumo wa taifa la Palestina la baadaye, chini ya mwamvuli wa Mamlaka ya Palestina," Quai d'Orsay ...
Mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, unajiandaa kushambuliwa na M23 na washirika wake Rwanda siku ya Ijumaa, ikionyesha mwendelezo wa mzozo huo ambao Umoja wa Mataifa unahofia kuwa "mbaya ...
Asilimia 80 ya Mji Mkongwe wa Mosul, kwenye ukingo wa magharibi wa Tigris, uliharibiwa wakati wa uvamizi wa IS kwa miaka mitatu. Haikuwa tu makanisa, misikiti na nyumba kongwe ambazo zilihitaji ...
"Maadamu watoto wetu wangali hai, hatutaondoka Gaza, na hatutaiacha." Kwa Jamalat Wadi, na kwa Wapalestina walio wengi zaidi huko Gaza, pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu uwezekano ...
waasi walitangaza kusitisha mapigano na kusema kuwa hawakuwa na nia ya kuchukua maeneo yoyote baada ya kuteka mji wa Goma. Hata hivyo, mamlaka ya DRC inasema shambulio hilo linakiuka makubaliano ya ...
Ameongeza:"Marburg ni mji uliojikita kwenye masuala ya elimu zaidi, hususani ile inayohusiana na afya, tiba na kinga, na katika kupambana na majanga eneo la uokoaji hasa zimamoto hivyo uhusiano huo ...
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA). Kabla ya uteuzi huo, Athumani alikuwa Mkufunzi Mkuu Chuo cha Kodi cha ...
Kutokana na hali hiyo, Bunge limeazimia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini ishirikiane na Taasisi ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Shirika la Viwango (TBS) na Bohari ...
Mamlaka nchini Kongo zinasema ziko tayari kwa mazungumzo ya kuleta amani ila mazungumzo hayo ni sharti yafanyike kwa muktadha wa makubaliano yaliyopita. Waasi hao wanadaiwa sasa kuelekea katika mji wa ...
Makundi yenye silaha yanadhibiti asilimia 85 ya mji wa Port-au-Prince Kwa mujibu wa UNICEF mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince, kwa sasa uko chini ya udhibiti wa makundi yenye silaha, huku yakiripotiwa ...
DODOMA : WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameelezea msimamo wa Serikali ya Tanzania kuhusu mabadiliko ya sera za misaada ya Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump, akisisitiza kuwa Tanzania ...