Wanaume hao sasa wanakabiliwa na hukumu za kifungo cha maisha jela. Jopo la mahakama lililoundwa na jumla ya wazungu 12 liliketi kutathmini kesi hiyo kwa saa 10 kabla ya kurejea kutoa hukumu ...