CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jana kiliadhimisha miaka 48 tangu kuanzishwa mwaka 1977. Chama hicho kilianzishwa baada ya ...
Oktoba, mwaka huu, CCM kitashiriki uchaguzi wa saba wa vyama vingi, huku kikitarajiwa kuibuka na ushindi kutokana na sababu ...
Rais wa Jamhuri ya Liberia, Joseph Boakai ni miongoni mwa marais wa Afrika 19 ambao wameshawasili jijini Dar es Salaam kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, ulioanza jana, ...
Uvumi huo ulienea baada ya kusambaa kwa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonesha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, akiwa pamoja na ujumbe wa ...
“Nimeomba kujiuzulu rasmi mawaziri na wakurugenzi wa idara za utawala. "Kutakuwa na mabadiliko katika baraza la mawaziri ili kufikia utiifu mkubwa zaidi wa mpango ulioamriwa na watu," Petro ...
alitangaza ushiriki wa viongozi wenzake wa Kongo na Rwanda. Leo Ijumaa, ni mawaziri wa mambo ya nje wanaokutana. Olivier Nduhungirehe, Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, amethibitisha kuwepo kwake ...
Mawaziri wa Ulinzi Nakatani Gen wa Japani na John Healey wa Uingereza wamekubaliaba kuharakisha uendelezaji wa pamoja uliopangwa wa ndege ya kivita ya kizazi kijacho utakaofanywa na Japani ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Japani, Marekani, Australia na India wamefanya mazungumzo ya mpangokazi wa Quad jijini Washington nchini Marekani. Mkutano huo ulifanyika jana Jumanne katika Wizara ya ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana hivi leo mjini Brussels, Ubelgiji kuamua iwapo wanatakiwa kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine.
Umoja wa Ulaya umeidhinisha mpango wa kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine. Mawaziri wa mambo ya Nje wa umoja huo walifikia uamuzi huo walipokutana leo mjini ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results