Kwa muda mrefu Kisiwa cha Pemba kimekuwa ngome ya upinzani, tangu uchaguzi wa kwanza baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa mwaka 1995, kisiwa hicho kilikuwa ngome ya Chama cha Wananchi (CUF).
Serikali ya Uganda imetangaza kuwa itaiondoa kesi dhidi ya mpinzani mkongwe, Kizza Besigye, kutoka mahakama ya kijeshi na ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jana kiliadhimisha miaka 48 tangu kuanzishwa mwaka 1977. Chama hicho kilianzishwa baada ya ...
Daniels, who played a key role in reinvigorating the franchise, is the first Washington player to earn the honor since Robert Griffin III after the 2012 season. Garrett requested a trade ...
Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dkt. Tedros Ghebreyesus akizungumza kwenye mkutano wa Mawaziri wa nchi wanachama wa WHO, huko Geneva, Uswisi hii leo amesema ijapokuwa idadi ya wagonjwa wa mpox inatulia, ...
“Na tunajivunia kuwa na Mawakala kila Mkoa ambao wanauwezo na ndio maana tunajidhatiti na kujipambanua tunauwezo wa kufikisha nishati safi katika maeneo yote nchi Tanzania ikiwemo Zanzibar. “Kwahiyo ...
unatanguliwa na mawaziri wa kisekta, na kesho wakuu wa nchi wataketi kuhitimisha. Kikundi cha ngoma ya Msewe kutoka Zanzibar kikitoa burudani nje ya kituo cha mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), ...
Mkutano huo pia unajumuisha mawaziri wa nishati na uchumi 60 pamoja na wadau wa maendeleo ... baadhi watakwenda katika hifadhi za taifa za wanyama na wengine watatembelea Zanzibar.
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana hivi leo mjini Brussels, Ubelgiji kuamua iwapo wanatakiwa kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine.
Meja Jenerali Peter Cirimwami, afisa katika Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) na gavana wa kijeshi wa mkoa wa Kivu Kaskazini, amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata katika ...
In a whole new Washington, his acolytes are following the leader. Washington columnist Albert R. Hunt has covered U.S. politics and presidential campaigns since 1972, previously for the Wall ...
We are waiting for signals (from Washington). Everyone is ready. It is difficult to read the coffee grounds here. As soon as there is something, if there is something, we will inform you." ...