“Watanzania wanatakiwa wajitokeze kwa wingi kusikiliza mashindano, waumini wa dini ya kiislamu kuhudhuria ni moja ya kufata maamrisho ya Mtume Muhamadi ya kuwataka kusikiliza kuruani kipindi cha ...
“Washiriki wanajifunza umoja, upendo na mshikamano na wengine kwa ufanisi. Kadhalika, Waziri Mkuu amesema kuwa mashindano hayo yanahamasisha jamii ya Kiislamu duniani kote kuwa na utamaduni wa ...