Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza kwenye mazishi ya mwanazuoni mkongwe na mwalimu wa dini ya Kiislamu, Sheikh Ayubu leo Jumatano Februari 19, 2025. Picha Jackson John, Mwananchi Morogoro. Waumini wa ...
Mwanazuoni mkongwe na mwalimu wa dini ya Kiislamu Mkoa wa Morogoro ... Manispaa ya Morogoro ambapo viongozi mbalimbali wa dini na Serikali wanatarajia kushiriki mazishi hayo," amesema Habibu. Sheikh ...
Nchini Israeli, mazishi ya familia ya Bibas, ambao miili yao ilirejeshwa wiki iliyopita na Hamas, yatafanyika leo Jumatano, Februari 26. Maelfu ya watu wanatarajiwa kupanga foleni barabarani kutoa ...
ambaye alikuwa karibu na mwanzilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ambaye alikabidhiwa misheni za siri na nyeti, anajivunia kuwa pia alipanga mauaji ya Jenerali Gholam-Ali Oveissi, mkuu wa zamani wa ...
"Qatar haina chuki dhidi ya makundi ya Kiislamu - kama vile Muslim Brotherhood, Hamas, na Taliban - kama ilivyo kwa Saudi Arabia," anasema Salem. Anasema kwamba uhusiano ambao Qatar ilikuwa nao na ...
Vinginevyo, watu hawako salama," amesema Bw Prince, ambaye kabla ya kuwa mzoaji taka alikuwa akisomea sheria katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Uganda. Chanzo cha picha, AFP Hakuweza kumudu ada ya ...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imezindua hatifungani inayozingatia misingi ya sheria ya Kiislamu inayoitwa Zanzibar Sukuk. Hatifungani hiyo ni ya kwanza kutolewa na serikali katika nchi zote ...
Mauaji ya raia katika miji ya pwani kaskazini-magharibi mwa Syria yanapaswa kusitishwa mara moja, amesema hii leo Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Volker Türk kufuatia ...
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Hamis Mtupa, ameomba Serikali kutambua vyeti vya ndoa vinavyotolewa na dini ya Kiislamu ili kuepusha usumbufu unaowakumba waumini wa dini hiyo. Akizungumza katika hafla ...
“Watanzania wanatakiwa wajitokeze kwa wingi kusikiliza mashindano, waumini wa dini ya kiislamu kuhudhuria ni moja ya kufata maamrisho ya Mtume Muhamadi ya kuwataka kusikiliza kuruani kipindi cha ...
Iko hivi. Karibu siku 10 sasa tangu kuanza kwa mfungo huo ambao waumini wa dini ya Kiislamu wote ulimwenguni wanajizuia kula na kunywa sambamba na kujiepusha na mambo machafu na kujibidiisha katika ...