"Kuna magonjwa ambayo yanaweza kuzuilika au kutibika mapema kwa kufuata mtindo bora wa maisha, ikiwemo lishe sahihi na kufanya mazoezi ya mwili. Hayati Mwinyi, pamoja na umri wake mkubwa, alihamasisha ...
RIPOTI ya utafiti kuhusu afya ya akili imebaini vijana wa kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa akili, wakipata alama za juu katika ustawi eneo hilo kati ya nchi 76 zilizofanyiwa utafiti duniani.
Ili kuepuka majeraha ya mapema wachezaji wanahitajika kupasha mwili moto kwa mazoezI mepesi na mazoezi ya viungo kabla ya kuimgia katika mechi. Mchezaji ahakikishe kuwa ana shikamana na ushauri wa ...
In the ‘80s, this was the original idea for the famous Nike slogan before it got workshopped into the more succinct motto of “just do it”. Not a lot of people know that. JAMES WEIR RECAPS ...
President Donald Trump has given Ukrainian President Volodymyr Zelensky an ultimatum: “You either make a deal, or we are out.” He canceled the planned signing ceremony of the bilateral minerals deal, ...
Korea Kaskazini inasema kwamba imefanya mazoezi ya kijeshi ya kurusha makombora ya kimkakati yanayoongozwa nje ya pwani ya magharibi ya Rasi ya Korea. Mazoezi hayo yanafuatia ukosoaji mkali wa ...
Taiwan ilisema ndege 45 za kijeshi za China zimeruka kwenye anga la kisiwa hicho kilichojitangazia uhuru, ikiwa ni idadi kubwa kabisa tangu uanze mwaka 2025. Haya yalijiri ikiwa siku moja tu baada ...
If you haven't already, you must register on the Paid Family and Medical Leave (PFML) Portal - https://pfml.maine.gov/contributions/_/ It is the online system for ...
WATANZANIA wameshauriwa kufanya mazoezi ya kutembea kwa dakika 30 mara tatu kwa wiki,pamoja na kula kwa kiasi, kwa ajili ya kujikinga na magonjwa ya moyo. Hayo yameelezwa leo Februari 26, 2025 na ...
Kuanzia kwenye viatu vya kuchezea, miundombinu ya kufanyia mazoezi, maumbile na lishe vimesukuma kufanya utafiti huu kujua visababishi vikubwa nyuma ya janga hilo kwa wanasoka wengi nchini kusumbuliwa ...
Moshi. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amewataka Watanzania kuishi maisha yanayofuata misingi ya afya bora na kuzingatia mazoezi ya mara kwa mara ili kuepuka magonjwa ...
Mkata. Rais Samia Suluhu Hassan amesema dhamira ya ziara yake Mkoa wa Tanga ni kuona namna Sh3.1 trilioni zilizotolewa na Serikali zilivyotumika kutekeleza miradi ya sekta mbalimbali za maendeleo.