Sasa ni rasmi kuwa Mazungumzo ya kurejesha amani Sudan Kusini yanayojulikana kama Tumaini, yamevunjika mjini Nairobi.
MAKAMU wa Rais wa Marekani, JD Vance, Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine, Rais Vladimir Putin wa Urusi na Rais Zelensky.
Rais wa Marekani ametangaza Jumatano, Februari 12, kwamba alikuwa na "mazungumzo ya muda mrefu na yenye tija" na mwenzake wa ...
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza, John Healy amesema hakuwezi kuwa na mazungumzo kuhusu Ukraine bila kuishirikisha Ukraine ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameashiria kwamba hajapendezwa kwamba Rais wa Marekani Donald Trump alitangulia kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa Urusi kabla ya kuzungumza naye. Zelenskyy ali ...
Ndiyo maana kauli yake bungeni kuwa alikuwa na mpango wa kukutana na viongozi wa upinzani kwa mazungumzo ilipokewa kwa bashasha na viongozi wa upinzani na wanaharakati. Hata hivyo, yaliyotokea ...
Viongozi hao wa Tanzania kwenye picha hiyo wapo nyuma ya wawakilishi wa Tanzania na Saudia ambao kwa mbele wanaonyesha ...
Masharti ya makubaliano kati ya Israel na Hamas kwa ajili ya kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka yanakamilika, afisa wa Palestina anayefahamu mazungumzo hayo ameiambia BBC.
Iran imesema iko tayari kuujadili mpango wake wa nyuklia ikiwa nchi za Magharibi zitaonyesha kujitolea katika mazungumzo hayo ...
Mwanadiplomasia mwandamizi wa Urusi anasema nchi hiyo ipo tayari kwa mazungumzo ya ngazi ya juu na Marekani. Hatua hiyo inakuja wakati kukiwa na ripoti kuwa Rais Donald Trump amezungumza na Rais wa ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya ...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema mazungumzo ya kumaliza vita vya Ukraine yataanza baada ya kufanya mazungumzo ya simu ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results