Lengo lililotangazwa na Zelensky ni kurejesha maeneo yaliyopotea ya Ukraine, ambayo ni takriban theluthi moja ya ardhi yote ...
Sasa ni rasmi kuwa Mazungumzo ya kurejesha amani Sudan Kusini yanayojulikana kama Tumaini, yamevunjika mjini Nairobi.
Kundi la Hamas linasema kwamba kesho Jumamosi litawaachilia huru mateka ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameashiria kwamba hajapendezwa kwamba Rais wa Marekani Donald Trump alitangulia kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa Urusi kabla ya kuzungumza naye. Zelenskyy ali ...
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza "mkutano huko Munich" siku ya Ijumaa, Februari 14, kati ya "maafisa wakuu kutoka ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy atakutana leo na Makamu wa Rais wa Marekani James Vance mjini Munich nchini Ujerumani kwa mazungumzo yanayotarajiwa kufungua pazia la mashauriano ya kumaliza vita k ...
Serikali imethibitisha kuwa wadau wa ndani na nje ya nchi wameonesha nia ya kuwekeza katika miradi mbalimbali chini ya mpango wa BSEZ, huku mazungumzo yakiendelea na taasisi husika. Hata hivyo, hadi s ...
Raila Odinga wa Kenya, Mahmoud Ali Youssouf wa Djibouti watamenyana na Richard Randmadrato wa Madagascar kuwania Uwenyekiti ...
Viongozi hao wa Tanzania kwenye picha hiyo wapo nyuma ya wawakilishi wa Tanzania na Saudia ambao kwa mbele wanaonyesha ...
WASHINGTON: RAIS wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kwamba Ukraine itashirikishwa katika mazungumzo ya amani na Russia, ...
Mkutano wa G20 wa Afrika Kusini ulitarajiwa kuwa fursa kwa mataifa tajiri, yenye nguvu kutilia maanani masuala ya nchi ...
Mwanamitindo Hamisa Mobetto kwa sasa uhusiano wake na mchezaji wa Yanga SC, Aziz Ki ndio habari ya mjini, picha na video za ...