Lengo lililotangazwa na Zelensky ni kurejesha maeneo yaliyopotea ya Ukraine, ambayo ni takriban theluthi moja ya ardhi yote ...
Kundi la Hamas limeanza mikutano na maafisa wa Misri kujadili utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Sasa ni rasmi kuwa Mazungumzo ya kurejesha amani Sudan Kusini yanayojulikana kama Tumaini, yamevunjika mjini Nairobi.
Kundi la Hamas linasema kwamba kesho Jumamosi litawaachilia huru mateka ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha ...
Rais wa Marekani ametangaza Jumatano, Februari 12, kwamba alikuwa na "mazungumzo ya muda mrefu na yenye tija" na mwenzake wa ...
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza, John Healy amesema hakuwezi kuwa na mazungumzo kuhusu Ukraine bila kuishirikisha Ukraine ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameashiria kwamba hajapendezwa kwamba Rais wa Marekani Donald Trump alitangulia kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa Urusi kabla ya kuzungumza naye. Zelenskyy ali ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy atakutana leo na Makamu wa Rais wa Marekani James Vance mjini Munich nchini Ujerumani kwa mazungumzo yanayotarajiwa kufungua pazia la mashauriano ya kumaliza vita k ...
NAIBU WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Ryabkov amesemamazungumzo ya silaha za nyuklia kati ya Urusi na Marekani bado ...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema mazungumzo ya kumaliza vita vya Ukraine yataanza baada ya kufanya mazungumzo ya simu ya ...
Viongozi hao wa Tanzania kwenye picha hiyo wapo nyuma ya wawakilishi wa Tanzania na Saudia ambao kwa mbele wanaonyesha ...
WASHINGTON: RAIS wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kwamba Ukraine itashirikishwa katika mazungumzo ya amani na Russia, ...