Yuji Iwasawa anamrithi Nawaf Salam, Waziri Mkuu mpya wa Lebanoni. Yuji Iwasawa atachukua nafasi ya mkuu wa mahakama ya Hague hadi muda wa Nawaf Salam utakapokamilika tarehe 5 Februari 2027.
Awamu ya pili ya mpango kazi wa serikali kwa ujenzi mpya baada ya janga hilo inamalizika Machi 31 mwakani. Ishiba alisema miaka mitano ijayo itakuwa ni kipindi muhimu cha kukuza hatua za wakazi ...
Mfumo mpya wa kinga ya mwili imegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini na mfumo huo una muundo wa siri ambao unaweza kutapika kemikali zinazoua bakteria.
Mamlaka ya Ulinzi wa Pwani ya Taiwan inasema meli ya mizigo ikiwa na wafanyakazi wa China huenda imeharibu waya chini ya bahari katika kile inachoelezea kama shughuli nyingine ya "gray zone ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi ...
CHAMA cha ACT Wazalendo, kimesema kimeshangazwa na kauli aliyoitoa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen ...
Waumini wa dini ya Kiislam Afrika Mashariki wameanza rasmi mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Visiwani Zanzibar, wakaazi wengi ni waumini wa dini ya Kiislam, sasa wakati mafundisho na miongozo ...
Wizara ya Ulinzi wa Taiwan ilisema ndege hizo pamoja na meli 14 za kijeshi zilionekana majira ya saa sita usiku wa kuamkia Alkhamis (Februari 27). Soma zaidi: Meli za kijeshi za Marekani zavuka ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amezindua namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) – 180, huku akitoa maagizo matatu kwa wahusika kuhakikisha changamoto ...
Katika maadhimisho ya miaka 10 ya huduma ya MV Jubilee Hope na uzinduzi wa meli mpya MV Lady Jean, Mkurugenzi wa mradi, Mchungaji Samweli Limbe, alisema meli hiyo imetoa huduma za afya katika visiwa ...
Mshtakiwa Boniface Jacob ( katikati) akipiga stori na wakili wake, Peter Kibatala, baada ya kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwenye mitandao wa kijamii wa X, zamani ukijulikana kama Twitter ...
Zanzibar. Katika kukuza na kuendeleza sekta ya utalii Zanzibar kwa kushirikiana na wadau muhimu wa sekta hiyo, wakiwemo Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) ...