Serikali imejenga shule mpya 171 na vyumba vya madarasa 3,300 kwa Mkoa wa Geita kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan lengo likiwa kuwaondolea wanafunzi adha ya kutembea ...
ZANZIBAR: Benki ya Stanbic Tanzania (SBT) na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) zimeungana kwa pamoja kuiwezesha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupata mikopo ya kibenki, ili kusaidia kufadhili miradi ya ...
Yuji Iwasawa anamrithi Nawaf Salam, Waziri Mkuu mpya wa Lebanoni. Yuji Iwasawa atachukua nafasi ya mkuu wa mahakama ya Hague hadi muda wa Nawaf Salam utakapokamilika tarehe 5 Februari 2027.
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni miongoni mwa Makundi ya Muziki huo kutoka Visiwani Zanzibar, Ungana na ...
Katika maadhimisho ya miaka 10 ya huduma ya MV Jubilee Hope na uzinduzi wa meli mpya MV Lady Jean, Mkurugenzi wa mradi, Mchungaji Samweli Limbe, alisema meli hiyo imetoa huduma za afya katika visiwa ...
Mamlaka ya Ulinzi wa Pwani ya Taiwan inasema meli ya mizigo ikiwa na wafanyakazi wa China huenda imeharibu waya chini ya bahari katika kile inachoelezea kama shughuli nyingine ya "gray zone ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa akizungumza na ... Jussa amesema wakati zikifanyika juhudi mpya za wazi na zinazofuata sheria kwa ajili ya kupata mwekezaji mpya ...
Kiongozi wa muungano wa kihafidhina wa CDU/CSU Friedrich Merz anayetarajiwa kuwa Kansela mpya wa Ujerumani amemtembelea Kansela Olaf Scholz kwa mazungumzo ya mwanzo ya kuunda serikali. Friedrich ...
Hii itakuwa nguzo ya urejesho wa Ukraine na kuunda fursa mpya kwa biashara za Ukraine na Ulaya" Mahitaji ya ujenzi upya na urejeshaji yako juu zaidi katika sekta ya makazi, takribani dola bilioni 84 ...
kocha akaacha kazi. Akaja kocha mpya, Mwingereza Stewart Hall, kutoka timu ya taifa ya Zanzibar. Naye baada ya muda mfupi akasema hamtaki Mafisango kwenye timu. Hapo sasa viongozi wakabidi wakubali ...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imezindua hatifungani inayozingatia misingi ya sheria ya Kiislamu inayoitwa Zanzibar Sukuk. Hatifungani hiyo ni ya kwanza kutolewa na serikali katika nchi zote ...