KLABU ya Simba pamoja na kushushwa hadi nafasi ya pili, bado ina matumaini ya kutwaa Ubingwa wa Tanzania Bara huku taarifa zikisema Kocha Mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids, amekataa kwenda FAR Rabat ya ...