Kinyume chake sisi huwa tunapambana kutafuta haki ya kuonyesha michuano ya Euro. Huu ni ukweli mchungu. Sijui ni kipi ambacho kinafanya wasipambane, lakini naamini ni kwa sababu ya viwango ...
Katika tuzo ya pili, Joti alichuana na wachekeshaji wakongwe akiwemo Bambo, Asha Boko, Mau Fundi, Mkwere, Kingwendu, Senga, Muhogo Mchungu na Brother K. Kwa upande wa wanawake, Asma Jamida aliibuka ...
Kwenye tuzo yake ya pili alikuwa akichuana na wachekeshaji wakongwe wengine wakiwemo Bambo, Asha Boko, Maufundi, Mukwele, Kigwedu, Senga, Muhogo Mchungu na Brother K. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ...
"Kwanza ukweli mchungu ni kwamba waandishi wote wa michezo huwa wana timu zao kati ya Simba na Yanga. Kwa hiyo mtu yeyote lazima awe upande mmojawapo, ila taaluma inatuzuia," anasema. "Lakini mtu ...