Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba ... ikiwa ni nakisi ya chini kabisa katika kipindi cha miaka minne iliyopita, na ikilingashwa na asilimia 3.7 mwaka 2023. Anasema hali hiyo, ilitokana ...
Mbali na kumpata Makamu Mwenyekiti Bara, Mkutano Mkuu Maalum unatarajia kupokea taarifa za utekelezaji wa kazi za serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ... kuwa msaidizi wa Mwenyekiti upande ...
Wanajeshi kadhaa kutoka Afrika Kusini, Malawi na Tanzania ... ya Rwanda alisema nchi yake inatetea mipaka yake wala haina nia ya mabadiliko ya serikali. Tarehe 4 , mwezi Januari 2025, Muungano wa ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama ... ushirikiano na chama cha AfD. Historia ya miaka ya nyuma ya Nazi nchini Ujerumani imesababisha vyama vya mrengo wa mbali kulia nchini humo kuchukuliwa kwa ...
Manusura mwingine mwenye umri wa miaka 99, Leon Weintraub, alielezea mashaka juu ya ukosefu wa uvumilivu anaouona barani Ulaya hivi sasa na kuwaasa watu kuendelea kuwa waangalifu. Vikosi vya ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye mwenyeji wa mkutano akihutubia mkutano huo amesisitiza umuhimu ake akisema. "Mkutano huu unazungumzia zaidi ya nishati, ni ...
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa TRA kwa mchango wao, pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuweka mazingira bora kwa wawekezaji. “Mazingira hayo yametuhamasisha kutanua ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
Weka kando chachandu za mkutano, jinsi Dodoma ilivyogeuka ya kijani, hisia ni Makamu Mwenyekiti mpya. Yalishatajwa majina mengi. Waziri Mkuu wa Tisa, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ... Kinana akiwa ...
ingawa uchaguzi huo uligubikwa na madai ya ukiukwaji wa demokrasia. Januari 2023, Lissu alitangaza kurejea tena Tanzania baada ya miaka mitano ya kuishi uhamishoni. Tangu kurudi kwake, licha ya ...
hakukuwapo na harakati zozote za wanariadha wa Tanzania kutaka kuikaribia wala kuivunja rekodi ya Bayi ya dakika 8, sekunde 12 na nukta 48, ambayo hivi leo inakaribia miaka 45. “Mita 3000 steeplechase ...
The president of Tanzania has confirmed a case of the Marburg virus in the country. Marburg belongs to the same family of illnesses as Ebola and can cause death in up to 88% of cases. President ...