Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba ... ikiwa ni nakisi ya chini kabisa katika kipindi cha miaka minne iliyopita, na ikilingashwa na asilimia 3.7 mwaka 2023. Anasema hali hiyo, ilitokana ...
NAIBU Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka ... wa habari leo, Mkuu wa chuo hicho, Profesa Edda Lwoga, amesema kuwa CBE iliyoanzishwa mwaka 1965, ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama ... ushirikiano na chama cha AfD. Historia ya miaka ya nyuma ya Nazi nchini Ujerumani imesababisha vyama vya mrengo wa mbali kulia nchini humo kuchukuliwa kwa ...
TANZANIA inazidi kupata mafanikio kwenye sekta ya fedha, imefahamika. Kwa mujibu wa ripoti ya viashiria vya Masoko ya Fedha ya Absa (AFMI) ya mwaka 2024, Tanzania imepanda kutoka alama 50 hadi 52.
Manusura mwingine mwenye umri wa miaka 99, Leon Weintraub, alielezea mashaka juu ya ukosefu wa uvumilivu anaouona barani Ulaya hivi sasa na kuwaasa watu kuendelea kuwa waangalifu. Vikosi vya ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye mwenyeji wa mkutano akihutubia mkutano huo amesisitiza umuhimu ake akisema. "Mkutano huu unazungumzia zaidi ya nishati, ni ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
ingawa uchaguzi huo uligubikwa na madai ya ukiukwaji wa demokrasia. Januari 2023, Lissu alitangaza kurejea tena Tanzania baada ya miaka mitano ya kuishi uhamishoni. Tangu kurudi kwake, licha ya ...
hakukuwapo na harakati zozote za wanariadha wa Tanzania kutaka kuikaribia wala kuivunja rekodi ya Bayi ya dakika 8, sekunde 12 na nukta 48, ambayo hivi leo inakaribia miaka 45. “Mita 3000 steeplechase ...
The president of Tanzania has confirmed a case of the Marburg virus in the country. Marburg belongs to the same family of illnesses as Ebola and can cause death in up to 88% of cases. President ...
The Tanzanian party for Democracy and Progress, commonly known as Chadema, has a long and storied history.It was founded in 1992, shortly after Tanzania adopted a multiparty system of democracy ...
Serikali kupitia Wizara ya Fedha inatarajia kukusanya sh bilioni 100 kila mwaka kutokana na uwekezaji wa dola 20 milioni uliofanywa na kampuni ya ITHUBA Tanzania, iliyopata leseni ya miaka nane ...