Miezi kumi na minane baada ya kuingia madarakani, Jenerali Tiani alitia saini agizo mwishoni mwa juma hili la kutaka kuitishwe mazungumzo ya kitaifa kuanzia Februari 15 hadi 19 nchini Niger.
Licha ya kuzungukwa na vifusi vya vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea, wakazi wa Mogadishu mapema miaka ya 1990 walikumbatia nyakati za utulivu. Mwangaza wa jua wa Jumapili na upepo baridi ...
Hesabu zina endelea katika chaguzi dogo katika eneo bunge la Werribee ambalo liliwahi kuwa ngome ya chama cha Labor katika vitongoji vya magharibi ya mji wa Melbourne. Uvutio wa chama cha Labor ...
Maelezo ya picha, Tareq, mvulana wa ki-Palestina mwenye umri wa miaka 10, ameketi juu ya rundo la vifusi huko Gaza, akiwa amevalia suruali ya dangirizi, sweta na mkoba wa manjano. Dakika 3 ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo yatafanyika Kitaifa jijini Dodoma Februari 5, mwaka huu. Mwenyekiti wa Jumuiya ...
Mwimbaji mkongwe wa muziki wa taarab, Khadija Omar Kopa, pamoja na msanii wa kizazi kipya, Barnaba Classic, wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa na kumtakia maisha ...
Uamuzi huo umekuja baada ya kuongezeka kwa kiwango cha wanafunzi wanaopata daraja la nne na sifuri kwa miaka mitatu mfululizo katika baadhi ya shule za Manispaa ya Temeke zikiwemo za Pendamoyo, ...
WACHEZAJI saba kati ya 37 waliopata majeraha katika ajali ya gari la timu ... soka kama ambavyo Mwanaspoti ilishawahi kuripoti madhila yake ikiwamo kuteseka kwa miaka mitatu akiuguza majeraha na ...
NYOTA wa Kitanzania, Malaika Meena amesema ana furaha kubwa kujiunga na Bristol City inayoshiriki Ligi ya Wanawake ya Championship ya England, huku akitaja malengo yake ni kuipandisha timu ligi kuu.
walipoanza operesheni zao ndani ya DRC miaka mitatu iliyopita,"imeandika tovuti hiyo Maofisa wawili wa juu wa kijasusi wenye taarifa za kina kuhusu RDF wamesema idadi halisi ya vifo vya wanajeshi wa ...
ambako alipata kazi aliyofanya kwa miaka mitatu na kisha kurudi Windhoek alikoajiriwa kama mfagizi kwenye Shirika la Reli la Afrika Kusini(SAR). Nujoma alijitumbukiza kwenye siasa mwanzoni mwa miaka ...
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa BFT Makore Mashaga, uteuzi huo umekuja baada ya kumalizika kwa mashindano ya Samia Women Boxing Championship yaliyofanyika Dar es Salaam wiki iliyopita.