Kwa upande wake, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania itaendelea kusaidia mipango yote ya kidemokrasia ili kukomesha mapigano nchini Kongo. Ombi langu ...
Kikao hicho kimeanza hii leo Jumamosi jijini Dar es Salam nchini Tanzania kujadili suala la usalama na ile ya kibinadamu katika Mji wa Goma, Mji Mkuu wa Kivu Kaskazini. Nchi ya DRC inawakilishwa ...
Walikuwa pia wanataka wakimbizi wa Tutsi waliofukuzwa nchini Rwanda kwa sababu ya vurugu za kikabila kurudi nyumbani. Kwa miaka minne ... ambaye anasimamia muungano wa vikundi vya waasi ikiwemo ...
Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika ... Hatua ya Trump kuondoa ufadhili; Wafanyakazi katika mashirika Tanzania wana siutafahamu Chanzo ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
Februari 21 na 22, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kuwakaribisha wakuu wa nchi 25 za barani Afrika zinazozalisha kahawa katika mkutano wa tatu wa G-25 African Coffee Summit ...
Dar es Salaam. Zaidi ya kampuni tano za kigeni kutoka Ufaransa na Misri, pamoja na wawekezaji wa ndani ya Tanzania, wameonyesha nia ya kuwekeza katika usafirishaji wa nyaya (cable). Ili kufanikisha ...
Nao wanafunzi wa shule ya Lung’wa iliyopo wilaya ya Itilima wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa madawati hayo ambayo ...
“Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kuwasilisha salamu zetu za rambirambi kwa Mheshimiwa Dkt. Nangolo Mbumba, Rais wa Jamhuri ya Namibia, wananchi wa Namibia ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.