Akiichambua sera hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uwezo Tanzania, Baraka Mgohamwende ... Rais Samia Suluhu Hassan alisema elimu itakuwa ya lazima kutoka miaka saba na kuwa 10 na kwamba ...
Mkutano wa kilele wa pamoja kati ya EAC na SADC unafunguliwa leo Ijumaa, jijini Dar-es-Salaam, Tanzania, kuhusu mgogoro wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mashirika ya kikanda ...
Maoni ya Moriyama yamekuja wakati serikali na muungano wa vyama vinavyotawala vikifikiria kuwapeleka wabunge kwenye mkutano huo. Wakati huo huo, serikali inasisitiza msimamo wake wa kutohudhuria ...
Tukio hilo lilitokea katika Barabara ya Ambedkar Nagar karibu na mji wa Ayodhya. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 22 alitoweka tangu Alhamisi iliyopita jioni. Kwa mujibu wa familia hiyo ...
Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika ... Hatua ya Trump kuondoa ufadhili; Wafanyakazi katika mashirika Tanzania wana siutafahamu Chanzo ...
Manusura mwingine mwenye umri wa miaka 99, Leon Weintraub, alielezea mashaka juu ya ukosefu wa uvumilivu anaouona barani Ulaya hivi sasa na kuwaasa watu kuendelea kuwa waangalifu. Vikosi vya ...
uamuzi ambao umeipata Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa na hatia kwa kushindwa kuwalinda watu wenye ualbino dhidi ya mashambulizi ya kikatili, mateso, ubaguzi, usafirishaji haramu wa binadamu na ...
CCM, miaka 48, kimebaki kuwa chama kikongwe Afrika. Kinaongoza dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila ushirika. Lawama dhidi yake ni nyingi kuwa kinaminya demokrasia na kinashinda uchaguzi kwa ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
Februari 5, 2025, niko tena jijini Dodoma kushuhudia Chama cha Mapinduzi (CCM) kikitimiza miaka ... wa Serikali Kuu na serikali za mitaa Tanzania Bara na Zanzibar ili kuunda na kushika Serikali Kuu na ...
Nao wanafunzi wa shule ya Lung’wa iliyopo wilaya ya Itilima wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa madawati hayo ambayo wamesema ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results