Mbunge wa Viti Maalum mkoani Shinyanga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba, amempongeza Rais ...
MBUNGE wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, amesema ataibana serikali, ili ijenge meli katika Ziwa Tanganyika, itakayosaidia kurahisisha usafiri na usafirishaji wa mizigo katika ziwa hilo. Mbun ...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025, Alex Msama amesema tamasha hilo litafanyika ...
Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae kufanyika Mikoa 26 ya Tanzania. Hayo ameyasema leo alipongea na waandishi wa Habari kuhusiana na maandalizi ya Tamasha hilo kwa kusema kuwa ...
BOHARI ya Dawa Tanzania (MSD) imesema gharama za kusafi sha damu zitapungua kutoka kati ya Sh 200,000 hadi 230,000 kuwa chini ...
Kutokana na ari hii, Bahati alianzisha taasisi ya kiraia iitwayo Msichana Kwanza, ambayo imekuwa na mchango mkubwa katika ...
Pamoja na kuwa na rasilimali nyingi, mikoa hii bado ina kiwango cha chini cha pato la mtu mmoja, hali inayochochea umaskini ...
Kabla ya mwaka 2022 Kanda ya Dar es Salaam ilikuwa ukiongoza katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya halmashauri nchini, ...
Ushirikiano kati ya sekta za umma na binafsi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya kitaifa yaupatikanaji wa nishati safi ...
Ukiona vyaelea, jua vimeundwa. Ndivyo unaweza kusema kuelezea baadhi ya mastaa wa Ligi Kuu wanaotamba katika timu tofauti ...
UPEPO umebadilika. Upepo wa mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara umebadilika baada ya timu kadhaa zilizokuwa zikichuana na vigogo ...