Mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, unajiandaa kushambuliwa na M23 na washirika wake Rwanda siku ya Ijumaa, ikionyesha mwendelezo wa mzozo huo ambao Umoja wa Mataifa unahofia kuwa "mbaya ...
yanasema bei ya baadhi ya bidhaa kwenye mji wa Goma, imeongezeka maradufu wakati huu mzozo unaoendelea ukizuia misaada na usambazaji wa malighafi. Kwa mujibu wa ripoti hiyo pamoja na shuhuda za ...
Asilimia 80 ya Mji Mkongwe wa Mosul, kwenye ukingo wa magharibi wa Tigris, uliharibiwa wakati wa uvamizi wa IS kwa miaka mitatu. Haikuwa tu makanisa, misikiti na nyumba kongwe ambazo zilihitaji ...
Msemaji wa Naibu wa Vikosi vya Ulinzi vya Uganda ameiambia BBC kwamba jeshi la Uganda linadumisha tu wanajeshi waliopelekwa DRC chini ya operesheni ya pamoja na vikosi vya Congo. Na Rashid ...
Ameongeza:"Marburg ni mji uliojikita kwenye masuala ya elimu zaidi, hususani ile inayohusiana na afya, tiba na kinga, na katika kupambana na majanga eneo la uokoaji hasa zimamoto hivyo uhusiano huo ...
Goma. Zikiwa zimepita siku mbili tangu waasi wa Kundi la M23 watangaze kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa kile walichotaja ni kuwepo janga la ...
Hii ni baada ya M23 kufanya shambulizi la kushtukiza na kuchukua Mji wa madini katika jimbo la Kivu Kusini, wakati wakiendelea kusonga mbele kuelekea mji mkuu wa Bukavu. Baada ya M23 inayotajwa ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ukubwa baada ya Kinshasa. Mji huu, uliopo mpakani na Gisenyi nchini Rwanda, ...
Jumatatu, waasi walitangaza kusitisha mapigano na kusema kuwa hawakuwa na nia ya kuchukua maeneo yoyote baada ya kuteka mji wa Goma. Hata hivyo, mamlaka ya DRC inasema shambulio hilo linakiuka ...
Makundi yenye silaha yanadhibiti asilimia 85 ya mji wa Port-au-Prince Kwa mujibu wa UNICEF mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince, kwa sasa uko chini ya udhibiti wa makundi yenye silaha, huku yakiripotiwa ...
DODOMA : WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameelezea msimamo wa Serikali ya Tanzania kuhusu mabadiliko ya sera za misaada ya Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump, akisisitiza kuwa Tanzania ...
Kiungo mkongwe wa Namungo FC ya Lindi, lakini amewahi kufanya kazi Azam FC na Simba. Nyoni anahesabika kuwa mchezaji mcheshi zaidi kwa kuwaigiza wachezaji wenzake na hata kambini. Ikitokea kuna ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results