Hali ya wasiwasi inaongezeka katika mji wa Bukavu uliopo jimbo la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kufuatia kuwepo kwa waasi wa M23 katika wilaya jirani ya Kalehe kwa zaidi ya ...
Mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, unajiandaa kushambuliwa na M23 na washirika wake Rwanda siku ya Ijumaa, ikionyesha mwendelezo wa mzozo huo ambao Umoja wa Mataifa unahofia kuwa "mbaya ...
Takriban watu 100 waliuawa na zaidi ya 1,000 kujeruhiwa, kulingana na taarifa iliyotolewa na hospitali kadhaa. Hospitali za Goma "zimezidiwa" na watu waliojeruhiwa na "miili mingi" imetapakaa ...
“Raise your ya ya ya.” Pretty self-explanatory, right? Well, maybe not. If that phrase confuses you, but you've heard your kids belt it out, they're probably familiar with a mega-viral TikTok ...
Girl Talk delivered new single “Believe in Ya” on Wednesday, enlisting Grammy winner T-pain and Yaeji for the eclectic track. The song is crafted around cut samples from Change’s 1981 disco ...
Baada ya miezi kadhaa ya mapigano, waasi wa M23 sasa wanaudhibiti mji mkuu wa Goma, mji unaokaliwa na zaidi ya watu milioni mbili, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Wakati M23 walipowasili ...
Asilimia 80 ya Mji Mkongwe wa Mosul, kwenye ukingo wa magharibi wa Tigris, uliharibiwa wakati wa uvamizi wa IS kwa miaka mitatu. Haikuwa tu makanisa, misikiti na nyumba kongwe ambazo zilihitaji ...
Hesabu zina endelea katika chaguzi dogo katika eneo bunge la Werribee ambalo liliwahi kuwa ngome ya chama cha Labor katika vitongoji vya magharibi ya mji wa Melbourne. Uvutio wa chama cha Labor ...
Tayari tulishaainisha maeneo mbali mbali ya kufanya kazi zetu kwenye viunga mbali mbali vya Goma, kama vile Majengo, Mugunga. Na sasa mji wa Goma uliposhambuliwa, vijana wetu walisambaratika.
Ameongeza:"Marburg ni mji uliojikita kwenye masuala ya elimu zaidi, hususani ile inayohusiana na afya, tiba na kinga, na katika kupambana na majanga eneo la uokoaji hasa zimamoto hivyo uhusiano huo ...