MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi, Dk. Batilda Burian, amesema ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan, itaanza Februaru 23, mwaka huu, ...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia na kulivunja rasmi Bunge la 12 Juni 27, 2025. Akitoa taarifa ya Spika bungeni ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli ... Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025 ...
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa ...
Kwa upande wake Kadhi wa Mkoa Kigoma, Idrisa Kitumba alimweleza Rais Samia kama kiongozi ambaye anatokana na vitabu vya dini ...
Wadau wa elimu nchini Tanzania wameipongeza Serikali kwa kuandaa Sera ya Elimu ya mwaka 2014 Toleo la mwaka 2023 wakieleza ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae ...
Kufanyika kwa malipo hayo kwa mujibu wa Ulega ni utejkelezwaji wa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyetaka makandarasi ...
Akizungumza katika mkutano na katibu mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus, Rais Samia Suluhu Hassan amesema ... amesema kuwa hii ni mara ya pili kwa virusi vya maradhi ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali ...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwapungia Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, akiwashukuru baada ya kumchagua kuwa ...