Tasila Lungu, mbunge wa eneo la Chawama katika mji mkuu Lusaka, anashikiliwa na idara ya usalama baada ya kurejea nchini kutoka Marekani, Tume ya Kupambana na Dawa za Kulevya (DEC) imesema. Anatuhumiw ...
Wakuu wa nchi za Afrika wanakutana mwishoni mwa juma hili mjini Addis Ababa kwa ajili ya mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa ...
MOROGORO ni miongoni mwa miji michache nchini yenye umaarufu kutokana na mchango wake kwenye harakati za ukombozi ...
Mwanasiasa mkongwe nchini, Nicodemus Banduka(80) amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mloganzila iliyopo ...
Februari 22, mwaka huu kwenye Ukumbi wa City Centre, Magomeni, Mafia Boxing inatarajia kufanya pambano lingine kubwa la Knockout ya Mama, huku mtoto wa bondia mkongwe zamani, Rashid ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ukubwa baada ya Kinshasa. Mji huu, uliopo mpakani na Gisenyi nchini Rwanda, ...
Hii ni baada ya M23 kufanya shambulizi la kushtukiza na kuchukua Mji wa madini katika jimbo la Kivu Kusini, wakati wakiendelea kusonga mbele kuelekea mji mkuu wa Bukavu. Baada ya M23 inayotajwa ...
Kiungo mkongwe wa Namungo FC ya Lindi, lakini amewahi kufanya kazi Azam FC na Simba. Nyoni anahesabika kuwa mchezaji mcheshi zaidi kwa kuwaigiza wachezaji wenzake na hata kambini. Ikitokea kuna ...
HIVI karibuni bungeni Dodoma, serikali kupitia Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, imeelekeza wachambuzi kwenye vyombo mbalimbali vya habari kusoma walau kozi fupi za ...